β
HKIB Lending FAQ
Frequently Asked Questions & Support Guide
β Back to Login
π Account & Login
Nimesahau password nifanye nini?
+
Wasiliana na administrator wa mfumo ili kusaidiwa kubadilishiwa password yako salama.
Akaunti imefungwa nifanye nini?
+
Mfumo hufunga akaunti kwa muda baada ya login attempts nyingi zisizo sahihi. Subiri dakika chache au wasiliana na admin.
Nawezaje kuomba account?
+
Bonyeza βDon't have account? Click hereβ kwenye login page na ujaze taarifa zako.
π° Loans & Payments
Nawezaje kulipa mkopo?
+
Malipo yanafanywa kupitia cashier au admin wa mfumo kulingana na branch husika.
Penalty inawekwa lini?
+
Penalty inaweza kuwekwa pale mteja anapochelewa kufanya malipo kwa muda uliokubaliwa.
Balance yangu ina-update muda gani?
+
Mfumo una-update balance karibu instantly baada ya payment kurekodiwa.
π‘ Security & Protection
Kwa nini mfumo unani-logout?
+
Mfumo unaweza kuku-logout kwa usalama ikiwa session ime-expire au inactivity imezidi.
Data yangu iko salama?
+
Ndiyo. Mfumo una security layers, audit logs, rate limiting, backups, na access control.
Mfumo una-track shughuli?
+
Ndiyo. Login attempts, suspicious activity, na baadhi ya actions muhimu zinaweza kuonekana kwenye audit logs.
β Support
Mfumo ukikataa kufunguka nifanye nini?
+
Hakikisha internet ipo vizuri au wasiliana na support team.
Naweza kutumia simu?
+
Ndiyo. HKIB Lending imeboreshwa kufanya kazi kwenye simu na desktop.
Β© 2026 HKIB Lending β Secure Financial Management System